Chapisho la 21 la jarida la “Radu-Shamsi”

Kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya tukufu kimetoa chapisho la 21 la jarida la Radu-Shamsi.

Jarida la “Radu-Shamsi” ni jarida kuu la kitengo cha turathi za Hilla chini ya kitengo tajwa, akasema “Chapisho jipya linamada tofauti zikiwemo za habari zinazohusu harakati za kielimu na kitamaduni zinazofanywa na kituo”.

Akaongeza kuwa “Jarida limeandika mada za Utamaduni, Aqida, Adabu, Historia, Malalo na zinginezo, ikiwa ni sehemu ya kujenga uwelewa katika mambo mbalimbali yanayohusu turathi za Hilla”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: