Shindano linawashindi tofauti kulingana na mada zilizoshindaniwa.
Washindi wa shindano la Makala za wanahabari, mada isemayo: (Mfumo wa malezi wa bibi Fatuma Zaharaa -a.s-).
- 1- Mchindi wa kwanza: Muntaha Muhsin Muhammad.
- 2- Mshindi wa pili: Haajar Hussein Asadi.
- 3- Mshindi wa tatu: Ahudu Faahim Aaridhi.
Washindi kwenye shindano la kisa kifupi, mada isemayo: (Maelezo ya wilaya tak-winiyya na tash-riiyya ya mbora wa wanawake wa ulimwenguni -a.s-).
- 1- Mshindi wa kwanza: Swafaa Latwifu Tamimi.
- 2- Mshindi wa pili: Rawaa Hussein Muhammad Jawadi Mussawi.
Washindi watapewa zawadi siku ya Jumamosi tarehe (29/10/2022m) kwenye kongamano la wanahabari wa kike la mwaka wa saba, litakalofanyika kwenye kituo cha Swidiqah Twahirah (a.s) kilichopo mtaa wa Mulhaqu -barabara ya Hospitali ya Husseini- saa tatu asubuhi.