Kikao cha kwanza kilikua na mada zifuatazo:
- - Vyombo vya Habari vya kiislamu na nafasi yake katika kupambana na upotoshaji na ugaidi – Dkt. Ali Shamkhi Alfatalawi.
- - Misingi ya Dini katika kuboresha vyombo vya Habari – Dkt. Naafii Jamili Khalfu Alhilali.
- - Nafasi ya jamii kwa waathirika wa mitandao ya mawasiliano na matokeo yake kwa watumiaji.. tafiti ya kikristo kwa wanajamii – Dkt. Saadi Ibrahim Abbasi.
- - Hekaya za picha kwenye Habari za Iraq, utafiti wa kiteknolojia katika mawasiliano – Dkt. Twalibu Abduridha Kitwani.
Kikao cha kwanza kilicho endeshwa kwa lugha ya kiengereza kilikua na mada zifuatazo:
1- Image of the prophet Muhammad (pbh) – professor Oliver Scharbrodt
2- American Shi’ism and the Media – professor Liyakat Takim
3- Media in Contemporary Times: Challenges and Prospects – Prof.G.N. Khaki
4- Doctors’ Image Between G.B. Shaw and Christopher Marlow in Selected Plays – Dr. Mahmood Ali Ahmed
5- Reader’ Awareness Of Objectivity in Political News A Study of the Russia – Ukraine Conflict News Headlines – Rula Yazigy