Kitengo cha malezi na elimu kinafanya warsha ya kuwajengea uwezo walimu

Kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimeandaa warsha ya kuwajengea uwezo walimu wa shule za Al-Ameed.

Warsha imefanywa kwa anuani isemayo (Haja ya kuwajengea uwezo walimu wa shule za Al-Ameed), wakufunzi walikua ni walimu bobezi wa kitengo hicho, wamefundisha mada mbalimbali.

Kitengo cha malezi na elimu ya juu huandaa semina na warsha za kuwajengea uwezo watumishi mbalimbali, ili kuboresha utendaji wao.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: