Semina za masomo ya Qur’ani zinatolewa katika mji wa Najafu chini ya Majmaa-Ilmi.
Masharti ya kujiunga na masomo hayo ni:
- 1- Muombaji awe mvulana.
- 2- Awe na umri wa miaka (8 – 15).
- 3- Afanye mtihani wa majaribio.
- 4- Awe anaishi Najafu.
Maahadi imeandaa zawadi kwa watakao fanya vizuri, aidha kutakua na ratiba ya michezo mbalimbali na safari za mapumziko.