Majmaa-Ilmi inahitaji walimu wa Tahfiidhul-Qur’ani tukufu

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani chini ya Atabatu Abbasiyya imetangaza kuwa inahitaji walimu wa Tahfiidhul-Qur’ani.

Muombaji awe na sifa zifuatazo:

  • 1- Awe na umri wa miaka (20 – 40).
  • 2- Awe amehifadhi Qur’ani yote au sehemu ya Qur’ani.
  • 3- Awe na uwezo wa kufundisha.
  • 4- Awe anajua mbinu za ufundishaji na kuhifadhisha.
  • 5- Atapewa umuhimu mwenye uzowefu wa kazi hiyo.
  • 6- Awe anasoma vizuri Qur’ani na anafahamu kanuni za tajwidi.
  • 7- Awe anaishi katika mkoa wa Karbala.
  • 8- Muombaji atapewa mtihani wa majaribio na kamati ya wasomi bobezi.

Kwa kila anayetaka kazi tajwa hapo juu atume maombi yake kwa njia ya mtandao kwa kujaza fomu maalum iliyopo kwenye link ifuatayo: HTTPS://FORMS.GLE/DB4JLDSET4AF3NUBA
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: