Kitengo cha uhusiano kinafanya maadhimisho ya kumbukumbu ya kuzaliwa bibi Zainabu (a.s)

Kitengo cha uhusiano katika Atabatu Abbasiyya, kimefanya hafla ya kuadhimisha mazazi ya bibi Zainabu (a.s).

Hafla imefunguliwa kwa Qur’ani tukufu, zikafuata tenzi na kaswida zilizo ingiza furaha katika nyoyo za wafuasi wa Ahlulbait (a.s).

Hafla imefanywa ndani ya ukumbi wa utawala katika haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s), imehudhuriwa na mazuwaru wengi wa malalo hiyo tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: