Atabatu Abbasiyya imepokea rais wa Wakfu-Shia

Atabatu Abbasiyya imepokea rais wa Wakfu-Shia Dokta Haidari Shimri na wajumbe aliofuatana nao, mapokezi hayo yameongozwa na katibu mkuu Sayyid Mustafa Murtadha Aali Dhiyaau-Dini, rais wa kitengo cha mahusiano bwana Huquqi Muhammad Ali Azhar.

Dokta Shimri amefanya ibada ya ziara na kusoma dua akiwa pamoja na katibu mkuu wa Atabatu Abbasiyya Sayyid Mustafa Murtadha Aalu Dhiyaau-Dini.

Shimri ameonyesha furaha kubwa kwa ziara hii, amepongeza huduma bora zinazotolewa na wahudumu wa malalo hiyo takatifu, akawatakia mafanikio mema.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: