Hiki ndio kinafanywa na Masayyid kwa mazuwaru katika kumbukumbu ya kifo cha bibi yao Zaharaa (a.s)

Kama kawaida yao katika kila tukio la kumbukumbu ya kifo cha bibi yao Zaharaa (a.s) watumishi wa Atabatu Abbasiyya hutoa huduma kwa mazuwaru wa Abulfadhil Abbasi (a.s), katika msimu wa huzuni za Fatuma kwa kugawa chai kwenye njia za Karbala.

wameanza kutoa huduma hiyo wakati wa kumbukumbu ya kifo cha Fatuma Zaharaa kwa mujibu wa riwaya ya pili, na wataendelea kwa siku kadhaa.

Jambo hili ni sehemu ya urithi kutoka kwa mababu zao, imekua ni desturi yao kufanya hivyo kila mwaka, baadhi ya watumishi wa Ataba hushiriki kutoa huduma hiyo pia.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: