Kuhitimisha vikao vya kongamano la kwanza kuhusu maendeleo endelevu

Siku ya Alkhamisi vikao vya kujadili mafanikio na changamoto katika utekelezaji wa mpango wa maendeleo endelevu, unao endelea kutekelezwa hadi mwaka 2030 vimehitimishwa.

Kongamano hilo limefanywa na Atabatu Abbasiyya kwa kushirikiana na wizara ya mipango, chini ya kauli mbiu isemayo (Angalia mustakbali kwa kulinda sasa).

Kikao cha ufungaji wa kongamano kimehudhuriwa na makamo rais wa chuo Dokta Alaa Mussawi na kilikua na mawasilisho mawili.

  • 1- Hali ya viwanda vya Iraq, muwasilishaji alikua Dokta An’aam Zaairi Jaasim kutoka wizara ya viwanda na madini.
  • 2- Kuangalia na kuitikia mahitaji ya wakinamama, muwasilishaji alikua Dokta Majidah Karim Ahmadi kutoka wizara ya afya.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: