Wahadhiri wa Husseiniyya wamefanya nadwa kwa kundi la vijana

Idara ya wahadhiri wa Husseiniyya katika Atabatu Abbasiyya imefanya nadwa kwa vijana ambao ni wadau wa majlisi za Husseiniyya.

Shekhe Abdulhussein Twaaiy amesema “Katika nadwa hii tumechagua vijana kutoka miji tofauti ya Iraq, miongoni mwa wale ambao hushiriki kwenye majlisi za Husseiniyya”.

Akaongeza kuwa “Kundi hili la vijana litakua mbegu njema katika jamii aidha wanaweza kutumiwa pia na Ataba tukufu pamoja na kuwatembeza katika miradi ya Ataba”.

Tunawapa masomo ya kuwajengea uwezo vijana hawa, ili wawe wasaidizi katika shughuli za majlisi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: