Kujadili njia za kushirikiana.. ugeni kutoka kitengo cha habari na utamaduni kimetembelea wizara ya uadilifu

Ugeni kutoka kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya, kupitia kituo cha kuthibitisha jinai za magaidi nchini Iraq, umetembelea wizara ya uadilifu.

Mkuu wa kituo hicho Dokta Abbasi Quraishi amesema “Kituo chetu kinafanya makubaliano na taasisi tofauti za serikali kuhusu uthibitishaji wa jinai zilizofanywa na Magadi hapa nchini”.

Akaongeza kuwa “Ziara yetu imejikita katika kujadili njia za kushirikiana na kusaidiana katika mambo mbalimbali yanayohusu taarifa za jinai na vitendo vya kigaidi”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: