Katika mji wa Basra.. Majmaa-Ilmi imehitimisha mahafali za mimbari za nuru

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya imehitimisha mahafali za mimbari za nuru zinazo simamiwa na kituo cha miradi ya Qur’ani kilicho chini ya Majmaa.

Mahafali ilifunguliwa na msomaji wa Atabatu Abbasiyya Sayyid Muhammad Ridhwa Zubaidi na Haidari Albazuni pamoja na wasomaji wengine wawili, Ali Abdulwahid na Abdullahi Ali.

Mahafali imefanywa ndani ya Husseiniyya ya Daaru Imamu Hussein (a.s), sambamba na kifo cha Swidiqatu Twahirah Zaharaa (a.s), mbele ya mkuu wa kituo Sayyid Hassanaini Halo, viongozi wengine wa sekta za Qur’ani na kundi kubwa la wadau wa Qur’ani tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: