Ujumbe wa wanafunzi umetembelea harakati za kituo cha turathi za Basra

Ujumbe wa wanafunzi kutoka chuo kikuu cha Basra umetembelea harakati za kituo cha turathi za Basra chini ya kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya tukufu.

Ujumbe huo umesikiliza maelezo ya shughuli zinazofanywa na kituo hicho za kutunza turathi za mji wa Basra.

Ujumbe umefurahishwa na ziara hii ya kielmu na wamepongeza kazi nzuri inayofanywa na Atabatu Abbasiyya katika sekta ya elimu hapa nchini.

Ziara hii ni sehemu ya ushirikiano kati ya kituo cha turathi za Basra na kitengo cha taaluma katika chuo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: