Uwanja wa katikati ya haram mbili unashuhudia hafla ya kuwakumbuka mashahidi wa ushindi

Uwanja wa katikati ya haram mbili tukufu umeshuhudia hafla ya kuwakumbuka mashahidi wa ushindi dhidi ya magaidi wa Daeshi.

Hafla imefunguliwa kwa Qur’ani tukufu na imehudhuliwa na mkuu wa mkoa wa Karbala Mhandisi Naswifu Jaasim Alkhatwabi na viongozi wa jeshi, wakazi wa mji wa Karbala na mazuwaru.

Hafla imefanywa chini ya kauli mbiu isemayo (mwenye mazuri mawili) na imepambwa na kaswida za kuwasifu mashahidi zilizo somwa na Muhammad Faatwimi, Ihaabu Maliki na wengineo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: