Kwa picha.. watumishi wa Atabatu Abbasiyya wanafanya tukio la kiibada

Watumishi wa Atabatu Abbasiyya wanafanya tukio la kiibada ndani ya ukumbi wa haram ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s).

Tukio hilo ni sehemu ya kukumbuka kifo cha mama mtakatifu Ummul-Banina (a.s), wamesoma ziara ya Abulfadhil (a.s) wakiwa wamesimama kwa huzuni mbele ya kaburi lake tukufu, wamesoma ziara na wimbo wa (Lahnul-Ibaa).

Baada ya hapo walisimama kwa heshima na kuonyesha ukubwa wa huzuni walizonazo kutokana na msiba huo ulio waumiza watu wa nyumba ya Mtume (a.s) katika siku kama hizi, aidha mazuwaru wa Atabatu Abbasiyya pia wameshiriki kwenye maombolezo hayo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: