Kituo cha utamaduni wa familia kinatoa wito kwa waandishi wa kike washiriki kwenye shindano la Jannatu-Faatwimah

Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimetoa wito kwa waandishi wa kike washiriki kwenye shindano la (Jannatul-Faatwimah) kufuatia kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Zaharaa (a.s).

Ushiriki wa shindano hilo unahusisha fani za lugha, matokeo yatawekwa kwenye mitandao ya kituo.

Kutakuwa na zawadi ya tabaruku kwa washiriki wote, tambua kuwa muda wa shindano hilo ni siku tano, unatakiwa kutuma nakala ya ushiriki wako kwenye mtandao wa kituo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: