Chapisho la 452 la jarida la Swada-Raudhataini

Hivi karibuni kitengo cha habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu kimetoa chapisho la 452 la jarida la Raudhataini.

Jarida hilo linakurasa (84) zenye milango mbalimbali, kuna mlango unaoeleza huduma zinazo tolewa na Atabatu Abbasiyya kwa mazuwaru na milango mingine inayo eleza harakati tofauti.

Aidha jarida linamilango ya utamaduni, Aqida, Fiqhi, Afya na maisha ya mtu mmoja mmoja na kijamii, sambamba na kueleza miradi ya Atabatu Abbasiyya tukufu.

Kuangalia chapisho jipya fungua link ifuatayo: https://sadda.alkafeel.net/journal/713#/

Kuangalia machapisho ya zamani fungua link hii:

https://alkafeel.net/sadda/journal#/

au angalia kupitia mtandao wa telegram:

https://t.me/sadda_alrawdatain

kama unamchango wowote tutumie kupitia anuani ya barua pepe ifuatayo.

sadda@alkafeel.net
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: