Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa kesho siku ya Jumatatu tunakamilisha mwezi wa Jamadal-Aakhar

Ofisi ya Mheshimiwa Sayyid Sistani katika mji wa Najafu imetangaza kuwa kesho siku ya Jumatatu tunakamilisha mwezi wa Jamadal-Aakhar, hivyo siku ya Jumanne sawa na tarehe (24/01/2023m) ndio siku ya kwanza ya mwezi wa Rajabu mwaka 1444h, tunakuombeni dua.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: