Kwa wanaopenda kujisajili.. kitengo cha Habari kinafanya ziara maalum ya Imamu Hussein (a.s)

Kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya tukufu kupitia idara ya taaluma za mitandao, imetangaza kufanya ziara maalum ya Imamu Hussein (a.s) mwanzoni mwa mwezi wa Rajabu.

Watekelezaji wa ibada hiyo ni idara ya masayyid wanaotoa huduma katika Atabatu Abbasiyya tukufu kwa niaba ya watu wote watakaojisajili kwenye ukurasa wa (ziara kwa niaba).

Watafanyiwa ziara ya Abulfadhil Abbasi na Imamu Baaqir (a.s) katika kumbukumbu ya kuzaliwa kwake, Jirani na kaburi lake katika mji wa Baqii huko Madina, kundi la waumini wanaoishi Madina litajitolea kufanya ziara hiyo.

Kwa kila mtu anayependa kufanyiwa ziara kwa niaba ajisajili kwenye ukurasa wa (ziara kwa niaba).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: