Kamati ya ubomoaji wa nyumba inaendelea kuondoa nyumba zilizopo katika eneo la mradi wa uwanja wa Ummul-Banina (a.s)

Kamati ya ubomoaji wa nyumba chini ya Atabatu Abbasiyya inaendelea kuondoa nyumba zilizopo katika eneo la mradi wa uwanja wa Ummul-Banina (a.s).

Mradi upo upande wa kaskazini ya Atabatu Abbasiyya tukufu, kwenye eneo lenye kubwa wa (2m20,000), sehemu hiyo itajengwa nyumba ya ghorofa mbili.

Atabatu Abbasiyya ilinunua nyumba hizo siku za nyuma.

Mradi huu umeanza kutekelezwa baada ya kuidhinishwa na uongozi wa Wakfu-Shia na wizara ya fedha na mipango.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: