Wito kwa wanawake wa kushiriki kwenye mhadhara unaohusu kudhibiti hasira

Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimetoa wito kwa wanawake wahudhuria na kushiriki kwenye mhadhara usemao (mbinu za kudhibiti hasira).

Mhadhara unalenga kueleza sababu za hasira na namna ya kujikinga nazo.

Mhadhara utaanza baada ya kutimia idadi ya washiriki inayotakiwa katika ofisi za kituo zilizopo Karbala/ barabara ya Hospitali ya Imamu Hussein (a.s)/ kituo cha Swidiqatu-Twahirah (a.s).

Kushiriki kwenye mhadhara ingia katika telegram kwa jina hili @Thaqafaasria, tuma ujumbe kwa whwatsapp au piga simu namba 07828884555.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: