Kuhusu chembechembe ya Graphene.. kitivo cha udaktari wa meno katika chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya nadwa ya kielimu

Kitivo cha udaktari wa meno katika chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya nadwa ya kielimu kuhusu chembechembe ya Graphene, iliyopewa jina la (Graphene for the management of dental caries snd periodontal disease).

Mhadhiri wa nadwa hiyo bwana Ghasaq Mahmudu Azizi amesema “Nadwa imeeleza kuhusu chembechembe ya Graphene na nafasi yake katika kutibu meno, sambamba na kueleza matokeo ya tafiti za sasa katika jambo hilo”.

Akaongeza kuwa “Graphene ni chembechembe iliyogunduliwa hivi karibuni yenye uga mpana katika sekta tofauti, kama inavyo julikana kwa wanakemia na nafasi yake katika tiba ya meno na maradhi ya fizi”.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: