Ugeni wa wanafunzi wa shule za wilaya ya Tuzkharmatu katika mkoa wa Swalahu Dini, umeangalia mbinu za kisasa za ufundishaji katika shule za Al-Ameed.
Ugeni huo umekuja kuangalia maendeleo ya sekta ya malezi na elimu pamoja na mbunu za ufundishaji zinazotumika katika shule za Al-Ameed.
Ugeni umefurahishwa na mambo waliyoyaona shuleni hapo, ikiwa ni pamoja na ubora wa majengo ya shule za awali, msingi, sekondari, kumbi za michezo sambamba na vifaa vya kisasa vya kufundishia.