Atabatu Abbasiyya tukufu imetangaza shindano la kitamaduni awamu ya kwanza, linalohusu Imamu Hussein (a.s) lenye anuani isemayo (watukufu waliozaliwa katika mwezi wa Shabani).
Washindi kumi watatangazwa jioni ya Jumatano ya tarehe (22/2/2023) saa moja jioni, kwenye jukwaa la Atabatu Abbasiyya, sharti la kupokea zawadi mshindi anatakiwa awepo kwenye hafla itakayo fanywa katika eneo la mlango wa Kibla ya Abulfadhil Abbasi (a.s) siku ya Alkhamisi ya tarehe (23/2/2023).
Kesho litatolewa shindano maalum la kuzaliwa kwa Abulfadhil Abbasi (a.s), kisha shindano la kuzaliwa kwa Imamu Zainul-Aabidina (a.s).
Kushiriki katika shindano fungua link ifuatayo:
https://forms.gle/9EKZ5nQm4cv2PzVA9
 العربية
 العربية English
 English فارسى
 فارسى Türkçe
 Türkçe اُردُو
 اُردُو Français
 Français Deutsch
 Deutsch Español
 Español Azərbaycan
 Azərbaycan