Kituo cha utamaduni wa familia katika Atabatu Abbasiyya kinafanya mashindano ya kidini kwa jina la (Baqiyyatu-Llah) kufuatia maadhimisho ya kuzaliwa kwa Imamu Mahadi (a.f).
Kutakuwa na zawadi kwa washindi watatu wa kwanza, itakayotolewa ndani ya haram ya Abulfadhil Abbasi (a.s) baada ya kura.
Shindano litaisha tarehe kumi na tano Shabani, ambayo ni siku ya kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Imamu Hujjat mshubiriwa (a.f).