Nafasi za kazi.. Chuo kikuu cha Alkafeel kimetangaza nafasi za kazi

Chuo kikuu cha Alkafeel kimetangaza nafasi za kazi kwa wahitimu wa shahada ya Dokta na Masta katika sekta zifuatazo.

  • 1- Masta na Dokta (Kemia).
  • 2- Masta na Dokta (Sayansi ya viumbe hai).
  • 3- Masta na Dokta (Uhandisi wa kompyuta).
  • 4- Masta na Dokta (Sayansi ya kompyuta).
  • 5- Masta na Dokta (Uhandisi wa mawasiliano na mitandao).
  • 6- Masta na Dokta (Uhandisi wa umeme na elektronik).

Waombaji watashindanishwa na kuchaguliwa kwa mujibu wa vigezo vya Chuo, maombi yameanza kupokelewa tarehe (1/3/2023) hadi tarehe (6/3/2023). Fomu ya maombi ijazwe kupitia link ifuatayo: https://alkafeel.edu.iq/apply
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: