Sayyid Swafi awazawadia mabindi wa mashahidi waliohitimu kwenye vyuo vikuu vya Iraq

Kiongozi mkuu wa kisheria katika Atabatu Abbasiyya Sayyid Ahmadi Swafi, amewapa zawadi mabinti wa mashahidi walioshiriki kwenye hafla ya wahitimu wa vyuo vikuu vya Iraq.

Zawadi hizo zimetolewa katika hafla ya wahitimu (mabinti wa Alkafeel) awamu ya tano, iliyokuwa na kauli mbiu isemayo (Tunaangaza dunia kutokana na nuru ya Fatuma -a.s-).

Jumla ya mabinti wa mashahidi waliopewa zawadi wapo ishirini.

Hafla ya wahitimu inasimamiwa na idara ya shule za Alkafeel za wasichana katika Atabatu Abbasiyya tukufu awamu ya tano, itadumu kwa muda wa siku mbili, washiriki ni zaidi ya wanafunzi (1600).
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: