Chuo kikuu cha Alkafeel inafanya muhadhara kuhusu kifaa kinachotumika kupambana na baadhi ya aina za saratani.

Chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya mhadhara kuhusu kifaa kinachotumika kupambana na baadhi za aina za saratani na kuangalia maendeleo ya kitabibu duniani.

Mhadhara huo umetolewa katika jengo la kitivo cha udaktari hapo chuoni, ulikuwa na anuani isemayo (How the immune system can make cancer worse The role of tumor associated macrophages).

Mhadhiri alikuwa ni Profesa Bitri Munik, ameeleza maendeleo ya kielimu na kitabibu duniani na nafasi ya kifaa kinachotumika kupambana na baadhi ya aina za saratani, mihadhara ya kielimu inafaida kubwa.

Mwisho wa mhadhara yakakaribishwa maoni na michango mbalimbali kutoka kwa walimu na wanafunzi, wanafunzi wakasema kuwa wananufaika sana na elimu zinazotolewa katika nadwa kama hizi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: