Muwakilishi huyo wa Atabatu Husseiniyya amekuwa mshindi wa pili kwenye shindano la Qur’ani lililoandaliwa na Jumuiya ya adabu za kiislamu katika mji wa Ambaar.
Muwakilishi wa kituo cha Tablighi katika Atabatu Husseiniyya na mshindi wa shindano hilo amepewa zawadi na Mheshimiwa Sayyid Ahmadi Swafi kwa kuwa mshindi wa pili kwenye shindano hilo.
Akasema “Jambo hili linaonyesha namna kiongozi mkuu wa kisheria anavyojali sekta ya Qur’ani na namna anavyo wathamini watu waliohifadhi Qur’ani tukufu”.