Kitengo cha maarifa kimeandaa ratiba ya kifiqihi kwa lugha ya (kihausa) ya Afrika.

Kitengo cha habari na utamaduni katika Atabatu Abbasiyya kimeandaa ratiba ya kifiqhi kwa lugha la (kihausa) ya Afrika.

Mkuu wa Markazi Dirasaati Afriqiyya Shekhe Saadi Sataar Shimri amesema “Ratiba itakuwa na mihadhara kumi, itakayo tolewa na Shekhe Shabani Adam Jalo na kurushwa kwenye mitandao ya kijamii katika mwezi mtukufu wa Ramadhani”.

Kwa mujibu wa Shimri, lengo la ratiba hiyo ni kubainisha mambo ya kifiqhi kwa waumini wa bara la Afrika, jambo hilo ni sehemu ya ratiba ya kitablighi inayotekelezwa na Markazi kupitia mradi wa Tablighi katika jamii za waafrika.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: