Chuo kikuu cha Alkafeel kimefanya mahafali ya wahitimu wa kitivo cha uhandisi kwa awamu ya kumi na tatu.

Chuo kikuu cha Alkafeel chini ya Atabatu Abbasiyya tukufu kimefanya mahafali ya wahitimu wa kitivo cha uhandisi awamu ya kumi na tatu wa mwaka 2022 – 2023.

Mahafali ya wahitimu hao imejumuisha upigaji wa picha ya pamoja na rais wa chuo Dokta Nuris Dahani, mkuu wa kitivo cha uhandisi Ustadhi Ali Jaasim, wahadhiri wa chuo na ndugu, jamaa na marafiki wa wahitimu.

Dahani amepongeza familia za wahitimu kwa kazi kubwa waliyofanya kwa vijana wao na akawatakia mafanikio mema wahitimu, nao wazazi wametoa shukrani nyingi kwa chuo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: