Kitengo cha maarifa kinaendelea na ratiba ya Qur’ani katika mji wa Basra.

Kitengo cha maarifa ya kiislamu na kibinaadamu katika Atabatu Abbasiyya tukufu kinaendea na ratiba ya Qur’ani.

Ratiba inasimamiwa na kituo cha turathi za Basra chini ya kitengo hicho.

Ratiba ya Qur’ani tukufu inahusisha usomaji wa juzuu moja kila siku ndani ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, katika ofisi zake zilizopo Basra mtaa wa Sayyid Amiin.

Kituo kinatilia umuhimu mkubwa ratiba hiyo, inaanza saa (4:45) asubuhi kila siku, kinatoa wito kwa kila mtu wa kushiriki kwenye ratiba hiyo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: