Masharti ya kushiriki kwenye shindano hilo ni:
- 1- Shindano ni kwa wanawake tu.
- 2- Shindano ni kwa waliohifadhi kitabu cha Mwenyezi Mungu.
- 3- Washiriki wataanza kujiunga na shindano mwezi kumi Ramadhani kupitia mtandao wa kielekronik.
- 4- Shindano litafanywa mwezi (17) Ramadhani ndani ya ukumbi wa Maahadi ya Qur’ani katika mji wa Najafu.
Maahadi imeandaa zawadi kwa washindi watatu wa mwanzo.