Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya inafanya vikao vya usomaji wa Qur’ani katika wilaya ya Hindiyya mkoani Karbala.
Maahadi ya Qur’ani tukufu inafanya vikao vya usomaji wa Qur’ani katika wilaya ya Hindiyya chini ya Majmaa-Ilmi, harakati hii ni sehemu ya mradi wa (Nyumba za nuru), inayolenga kuhuisha usomaji wa Qur’ani katika nyumba za waumi.
Mradi huu ni sehemu ya ratiba ya Maahadi katika mwezi wa Ramadhani, inayolenga kufundisha usomaji sahihi wa Qur’ani tukufu.