Rais wa kitengo Sayyid Aqiil Yaasiri amesema kuwa, nyumba mpya inastudio nyingi na vyumba vya matangazo, mikutano, ofisi na vingine vitatumika kulingana na mahitaji.
Akaongeza kuwa, kuhamia kwenye nyumba mpya kunatokana na mahitaji ya kupanua huduma.
Akaendelea kusema “Jengo ni maalum kwa kazi za wanawake, lengo kubwa ni kuwaandalia sehemu tulivu kwao baada ya kuongeza idadi ya watumishi wa Idhaa.