Toleo la (457) la jarida la Swada-Raudhatain

Hivi karibuni kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya, kimetoa jarida la Swada-Raudhatain toleo la (457).

Jarida hilo limejikita katika kueleza harakati zinazohusu Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya wakati huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Huku kurasa (84) zikiandika kuhusu mafanikio ya miradi ya Atabatu Abbasiyya sambamba na kuandika kuhusu makongamano na matamasha ya kidini na kitamaduni.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: