Huzuni imetanda ndani ya malalo ya Abulfadhil Abbasi (a.s) sambamba na kuwekwa vitambaa na bendera zilizo andikwa maneno ya taazia kutokana na msiba huo mkubwa.
Atabatu Abbasiyya imeandaa ratiba kamili ya uombolezaji wa kifo cha bibi Khadijatul-Kubra (a.s) inayohusisha ufanyaji wa majlisi na utoaji wa mihadhara ya kidini.