Majmaa-Ilmi yaratibu usomaji wa Qur’ani ndani mwezi wa Ramadhani katika maeneo (65) ndani ya mji mkuu wa Bagdad.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya imeratibu usomaji wa Qur’ani katika maeneo (65) ndani ya jiji la Bagdad.

Vikao vya usomaji wa Qur’ani vinasimamiwa na Maahadi ya Qur’ani tukufu chini ya Majmaa.

Visomo vinafanywa katika vitongoji tofauti vya jiji la Bagdad, nayo ni ratiba maalum iliyoandaliwa na Maahadi katika mkoa wa Karbala na mikoa mingine.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu inaendesha visomo vya Qur’ani ndani ya mwezi huu mtukufu wa Ramadhani kwenye mikoa tofauti hapa Iraq, kwa lengo la kunufaika na mwezi huu mtukufu kwa kusambaza utamaduni wa kusoma Qur’ani katika jamii.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: