Wageni kutoka Pakistani na Afghanistani wanamiminika kwa wingi kwenye tawi la Majmaa-Ilmi katika maonyesho ya kimataifa jijini Tehran.

Tawi la Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika maonyesho ya Tehran, linatembelewa na idadi kubwa ya watu kutoka Pakistani na Afghanistani.

Watu hao wanapongeza Majmaa kwa kuweka mazingira bora na machapisho mazuri yanayotolewa, ikiwa ni pamoja na machapisho ya misahafu, vitabu vya tafsiri na maarifa ya Qur’ani.

Ushiriki wa Ataba kwenye maonyesho haya ni kwa ajili ya kuhamasisha sekta ya Qur’ani katika nyanja tofauti.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: