Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Sistani amepokea kundi la madaktari wa Najafu.

Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Husseini Sistani amepokea kundi la madaktari wa mkoa wa Najafu.

Kwa mujibu wa taarifa inasema: “Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Sayyid Ali Sistani amepokea kundi la madaktari wa mji wa Najafu”.

Mheshimiwa amewakaribisha na kuwatakia heri na baraka katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, aidha amepongeza kazi kubwa wanayofanya ya kutibu wagonjwa, akawatakia mafanikio mema katika kutekeleza jukumu hilo muhimu kwa binaadamu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: