Majmaa-ilmi inafanya vikao vya usomaji wa Qur’ani katika jiji la Bagdad.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya inafanya vikao vya usomaji wa Qur’ani katika mji wa Kadhimiyya jijini Bagdad.

Vikao hivyo vimesimamiwa na Maahadi ya Qur’ani tawi la Hindiyya chini ya Majmaa.

Hafla ya usomaji wa Qur’ani imefanywa katika msikiti wa Aali-Yaasin chini ya usomaji wa Amiin Tamimi na wasomaji wengine.

Hafla imehudhuriwa na muwakilishi wa Marjaa Dini mkuu wa mji wa Kadhimiyya, viongozi wengine wa kidini, kijamii pamoja na wakazi wa eneo hilo.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: