Hivi karibuni kitengo cha Habari kimechapisha toleo la (458) la jarida la Swada-Raudhatain.

Kitengo cha Habari katika Atabatu Abbasiyya kimechapisha toleo la (458) la jarida la Swada-Raudhatain.

Jarida hilo limeandika kuhusu hafla ya kuwajibikiwa na sheria kwa mabinti, iliyofanywa na Atabatu Abbasiyya kwa ushiriki wa wanafunzi wa kike (3000).

Kurasa zingine zipatazo (84) zimeandika mambo tofauti kuhusu miradi na mafanikio ya Ataba tukufu, Habari, ripoti, tafiti, makongamano ya kidini na kitamaduni.

Kwa anayetaka kushiriki katika jarida la Swada-Raudhatain atume mchango wake kupitia paruapepe ifuatayo: sadda@alkafeel.net
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: