Muhimu.. ofisi ya Sayyid Sistani imetaja kiwango cha Zakatul-Fitri.

Ofisi ya Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani katika mji wa Najafu imetaja kiwango cha Zakatul-Fitri cha mwaka huu ambacho ni unga wa ngano wenye thamani ya dinari za kiiraq (2500) kwa mtu mmoja.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: