Majmaa-Ilmi yafanya majlisi ya kuomboleza kifo cha Imamu Ali (a.s).

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya, imefanya majlisi ya kuomboleza kifo cha Imamu Ali (a.s).

Majlisi hiyo imesimamiwa na idara ya tahfiidh katika Maahadi ya Qur’ani tukufu ya Najafu chini ya Majmaa.

Majlisi imefunguliwa kwa Qur’ani tukufu iliyosomwa na Ali Zubaidi, ikafuata nai kutoka kwa Muhammad Ridhwa Jaabir kisha Shekhe Abdullahi Dujaili akapanda kwenye mimbari.

Majlisi hii ni sehemu ya harakati za Maahadi katika kuhuisha matukio yanayohusu Ahlulbait (a.s) sambamba na harakati zingine.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: