Majmaa-Ilmi inafanya zaidi ya vikao vitano vya usomaji wa Qur’ani kwa siku katika mkoa wa Diwaniyya.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya inafanya zaidi ya vikao vitano vya usomaji wa Qur’ani kwa siku katika wilaya ya Shamiya mkoani Diwaniyya.

Vikao hivyo vinasimamiwa na Maahadi ya Qur’ani tawi la Shamiya chini ya Majmaa.

Vikao vya usomaji wa Qur’ani vinafanywa kwenye vitongoji tofauti kwa lengo la kujenga utamaduni wa kusoma Qur’ani katika jamii.

Vikao vya usomaji wa Qur’ani ni sehemu ya ratiba ya Maahadi katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, mjini Karbala na mikoani, kwa lengo la kujenga utamaduni wa kusoma Qur’ani kwa raia wa taifa letu kipenzi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: