Kitengo cha malezi na elimu kimeandaa shindano la Qur’ani kwa wanafunzi wa shule za Al-Ameed.

Kitengo cha malezi na elimu ya juu katika Atabatu Abbasiyya tukufu, kimeandaa shindano la Qur’ani kwa wanashunzi wa shule za Al-Ameed za wavulana.

Shindano hilo, limehusisha wanafunzi waliopata nafasi za kwanza kwenye program ya sikio sikivu (Udhul-Waaiyya), kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia shule za msingi hadi sekondari.

Ratiba hii inajenga moyo wa kushindana baina ya wanafunzi, na kuwafanya kufikia viwango vya juu sambamba na kugundua vipaji vyao na kuviendeleza.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: