Chuo kikuu cha Alkafeel kimeandaa futari kwa wanafunzi wa bweni.

Chuo kikuu cha Alkafeel chini ya Atabatu Abbasiyya, kimeandaa futari ya pamoja kwa wanafunzi wa bweni.

Futari hiyo imeandaliwa chini ya maelekezo ya rais wa chuo Dokta Nuris Muhammad Shahidi Dahani.

Jambo hili limefanywa ndani ya mwezi huu wa Ramadhani kama sehemu ya chuo kuonyesha wajibu wa mzazi kwa wanafunzi wake.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: