Majmaa-Ilmi imefanya mashindano ya Qur’ani katika wilaya ya Hindiyya.

Majmaa-Ilmi ya Qur’ani tukufu katika Atabatu Abbasiyya, imefanya mashindano ya Qur’ani katika wilaya ya Hindiyya mkoani Karbala.

Mashindano hayo yamesimamiwa na Maahadi ya Qur’ani tawi la Hindiyya chini ya Majmaa.

Yanalenga kuibua vipaji vya usomaji wa Qur’ani na kujenga moyo ya ushindani kwa washiriki.

Maahadi imeandaa kamati ya majaji kwa ajili ya kujaji washindani na kutangaza washindi, sambamba na kuandaa zawadi maalum kwa ajili ya washindi.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: