Muhimu.. Ofisi ya Sayyid Sistani imetangaza kuwa Jumamosi ijayo ndio siku ya kwanza ya Iddul-Fitri.

Ofisi ya Mheshimiwa Marjaa Dini mkuu Ayatullah Sayyid Ali Husseini Sistani, imetangaza kuwa Jumamosi ya tarehe 22 Aprili ndio siku ya kwanza ya Iddul-Fitri tukufu.
Maoni ya wasomaji
Hakuna maoni
Kuweka maoni
Jina:
Nchi:
Barua pepe:
Kushiriki: